MUNGU AZILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO ZA WAPIGANAJI WETU HAWA
Uhuru wa Tanzani tu hautoshi endapo majirani hawako huru...ni maneno ya Mwl JK Nyerere ndivyo walivyotekeleza wapiganaji hawa wakati wakiwa katika majeshi ya kulinda amani nchini Sudan haya ni majeneza yao baada kufariki wakiwa kazini.i
No comments:
Post a Comment