*Picha 25 za sherehe ya Mpwa wake na Mwandishi wa habari wa ITV & Redio one mkoani Mara George Marato,Mkazi wa kijiji cha Ryamisanga wilaya ya Butiama Mkoani Mara.Taarifa zinasema kuwa kwa mila ya Kabila ya Kikurya unapokaribia kutimiza Umri wa utu uzima lazima utairiwe na hivyo kuruhusiwa kuingia katika Mapenzi na kushiriki katika Tambiko zote za Kimila.
*Lakini pamoja na kutimiza moja ya mila katika kabila hilo lakini pia wataalamu wa Afya wanasema kuwa mtu anapotairiwa ana zaidi ya asilimia 60 kujikinga na magonjwa Mbalimbali ukiwemo Ugonjwa wa Ukimwi,kufuatia hatua hiyo Serikali ya Tanzania iliamua kufanya zoezi hilo la kutairi baadhi ya Mikoa hapa Tanzania ukiwemo mkoa wa Mara katika wilya ya Rorya
* Matukio yote utayapata kupitia blog hii ya www.mwanawaafrika.blogspot.com na hapa ni Part 3
* Matukio yote utayapata kupitia blog hii ya www.mwanawaafrika.blogspot.com na hapa ni Part 3
Marato akiwa pamoja na dada yake
Haya bana jamaa naona Moli umepanda
Hii stahili kali Marato
oooohhhh Panga na jichoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Haya bana jamaa anazidi kudumisha Mila
kama kawaida ngoma ya LITUNGU
Furaha + Kinywaji mambo mwaaaaaaaaaaakeeeeeeeeeeee
Eti jamaa naye akaingia kati kucheza LITUNGU aaaaaaaaaaaaaaah
Shommy B akiwa pamoja na wadau katika kijiji cha Ryamisanga
George Marato na Mwane Maria Marato wakikata Maakuliiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kama kawaida hakunaga kulembaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Shommy B anakamilisha mtiririko mzima wa wamtukio kutoka kijiji cha Ryamisanga wilaya ya Butiama mkoani Mara
kwa hisani ya www.mwanawaafrika.blogspot.com
No comments:
Post a Comment